Wednesday, October 17, 2012

WIKI LA VIJANA, MWENGE, BABA WA TAIFA

SAFARI kutoka Mpanda kuelekea Tabora ilikuwa na rabsha kiasi na makeke ya kuchimba dawa, hapa abiria wakichimba dawa eneo la Uruila.

Kuna vitu vya klujifunza njiani pia, hapa vijana wakitoa gunia la mkaa porini walikokuwa wamelichimbia shimo na kulifukia wakikwepa vijana wa idara ya maliasili jirani na Itobo barabara ya Tabora Nzega

Mabanda ya taasisi za serikali na zisizo za serikali katika uwanja wa Kambarage katika manispaa ya Shinyanga

Picha ya pamoja katika ya maafisa waandamizi wa Wizara ya Habari, Vijana, utamaduni na michezo na Mkurugenzi wa Maendeleo ya vijana Tanzania Prof.  Elisante Ole Gabriel mwenye miwani kati kati


Banda la wizara katika Uwanja wa Kambarage Manispaa ya Shinyanga kudhimisha wiki la Vijana 2012


Halmashauri ya wilaya ya Maswa ni miongoni mwa halmashauri zilizoshiriki katik wiki la Vijana Tanzania 2012

Usafiri wa baiskeli ni maarufu sana kwa wakazi wa mkoa wa Shinyanga, hapa walikutwa na kamera yetu katika banda la wizara

No comments:

Post a Comment